Announcements

Posted On: Sep 05, 2023


KITENGO CHA TEHAMA NA TAKWIMU KIMEANDAA MAFUNZO MAALUMU YA MATUMIZI YA MFUMO WA MOODLE (LEARNING MANAGEMENT SYSTEM) KWAAJILI YA WANATAALUMA WA TEWW KUANZIA TAREHE 11/09/2023 HADI TAREHE 15/09/2023 HAPA MAKAO MAKUU NA KWA WAKUFUNZI WOTE WALIOKO NJE YA MAKAO MAKUU MNATAKIWA KUHUDHURIA KWA KUTUMIA ZOOM AMBAYO IMEAMBATANISHWA HAPO CHINI BILA KUKOSA KWANI MAFUNZO HAYA NI AWAMU YA TATU NA BAADA YA HAYO MAFUNZO KILA MKUFUNZI ATAPATIWA ACCOUNT KWA AJILI YA KUANZA KUITUMIA KATIKA KUFUNDISHIA.

PIA BAADA YA MAFUNZO HAYA YAMEANDALIWA MAFUNZO PIA KWA WANAFUNZI ILI KURAHISISHA ZOEZI

MAHALI NI IPOSA STEM HUB GHOROFA YA TATU

ZOOM LINK

Topic: MAFUNZO YA MOODLE KWA WAKUFUNZI WOTE bonyeza linki kujiunga!!!!

Time: Sep 11, 2023 10:00 AM

Join Zoom Meeting

https://iae-ac-tz.zoom.us/j/89681717959