Kaimu Naibu Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) – Utawala, Dkt. Honest Kipasika, ametembelea banda la TEWW katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma, Juni 21, 2026, kujionea ushiriki wa taasisi katika maonesho hayo.