TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, amehimiza kuanzishwa kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya TEWW na shirika lisilokuwa la kiserikali la Living Beyond Surviv
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, amehimiza kuanzishwa kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya TEWW na shirika lisilokuwa la kiserikali la Living Beyond Surviv
15th Aug, 2026

Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, amehimiza kuanzishwa kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya TEWW na shirika lisilokuwa la kiserikali la Living Beyond Survival (LBS), kwa lengo la kuimarisha mafunzo, ujuzi na fursa za maendeleo kwa jamii, hususan walengwa walio nje ya mfumo rasmi wa elimu.

‎Prof. Sanga ameyasema hayo leo Agosti 15, 2026, wakati akifungua Kongamano la DREAM2026: Impact Summit and Personal Growth Experience, lililowakutanisha wajasiriamali, wataalamu, vijana na wadau mbalimbali.

Amesema mafunzo yanayotolewa na shirika hilo yana mchango kwa jamii, lakini yanahitaji kurasimishwa na wawezeshaji kujengewa uwezo ili washiriki watambuliwe na kutumia ujuzi wao katika ajira na fursa za kiuchumi.

slot gacor