TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, ametembelea banda la TEWW katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali, jijini
Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, ametembelea banda la TEWW katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali, jijini
14th Jul, 2026

Mkuu wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Prof. Philipo Sanga, ametembelea banda la TEWW katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali, jijini Dodoma, Juni 22, 2026. Katika ziara hiyo, Prof. Sanga alipata fursa ya kujionea ushiriki wa Taasisi katika maonesho hayo, ikiwemo utoaji wa elimu, taarifa na huduma mbalimbali kwa wananchi.

Aidha, alitembelea mabanda ya taasisi na mashirika mengine ya umma yanayoshiriki maonesho hayo kwa lengo la kujionea shughuli, huduma na ubunifu mbalimbali unaowasilishwa kwa wananchi kupitia maonesho hayo.

slot gacor