TAASISI YA ELIMU YA WATU WAZIMA
(TEWW)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
TEWW YAWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA ELIMU BILA UKOMO
TEWW YAWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA ELIMU BILA UKOMO
24th Sep, 2026

Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa vijana na watu wazima kupata fursa ya elimu, maarifa na stadi, hususan wale waliokosa nafasi au kuondoka katika mfumo rasmi wa elimu. Hatua hii inalenga kuhakikisha hakuna anayebaki nyuma, huku elimu ikitumika kuongeza uzalishaji na kupunguza utegemezi katika jamii.

Akizungumza mubashara Septemba 23, 2026 kupitia Radio Nyanza FM mkoani Simiyu, Mkuu wa Taasisi hiyo, Prof. Philipo Sanga, amesema elimu bila ukomo ni nyenzo muhimu katika kujenga rasilimali watu yenye tija na kumwezesha kila Mtanzania kuongeza kipato na kuchangia maendeleo ya taifa.

slot gacor